Raisi wa Awamu ya 4 Mh Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete nao leo wamejitokeza kufanya Usafi. #UhuruWaUsafi #UsafiDay