Nimeona nikusogezee picha za hivi
visiwa 10 ambavyo viko kwenye list ya vinavyoongoza kwa kuwa na
mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja,
unadhani kitakuwa ni cha Tanzania?

1. Providenciales – Uturuki

2. Maui – Marekani

3. Roatan – Honduras

4. Santorini – Ugiriki

5. KO TAO – THAILAND

6. Madeira – Ureno

7. Bali – Indonesia

8. Mauritius

9. Bora Bora- French Polynesia

10. Fernando De Noronha- Brazil
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
Social Plugin