BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA JELA MIAKA 3 KWA KUMPIGA NGUMI MTU
Monday, February 02, 2015
Bondia
maarufu nchini Fransic Cheka baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 3
leo mchana baada ya kumpiga mangumi meneja wake ....
Picha za Kwanza za Bondia Maarufu Akipanda Gari Kuelekea Kuanza Kifungo Chake Leo
Taarifa iliyoifikia Malunde1 blog hivi punde,inaeleza kuwa
Bondia maarufu hapa nchini,Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha Miaka
mitatu (3) jela kwa kukutwa na hatia ya kumpiga na kumjeruhi Meneja wa
Bar yake iliyopo mjini Morogoro.
Cheka
alifikishwa kizimbani leo na kusomewa mashtaka ya kushambulia na kuzuru
mwili,akidaiwa mnamo julai 02 mwaka 2014, bila uhalali na akijua
kufanya hivyo ni kosa kisheria, alimpiga kwa ngumi maeneo ya kichwani na
tumboni, Bahati Kabanda maarufu kama Masika, na kumsababishia maumivu
makali.
Hukumu hiyo imetolewa leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi,Mkoani Morogoro.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin