Hiki ni choo kinachotumiwa na wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Mawemilu iliyopo  kata ya Mwakitolyo  halmashauri ya wilaya ya  Shinyanga mkoani Shinyanga,kikiwa kimejengwa kwa nyasi

 Ndani ya darasa la tatu katika shule ya msingi Mawemilu iliyopo  kata ya Mwakitolyo  halmashauri ya wilaya ya  Shinyanga mkoani Shinyanga,ambako kuna magogo yanayotumiwa na wanafunzi kukaa wakiwa wanafundishwa na walimu wao