Video Mpya: Shetta Feat Diamond- Kerewa
Angalia video mpya ya wimbo wa Shetta aliomshirikisha Diamond Platinumz ‘Kerewa’, video imefanywa Afrika Kusini na kampuni ya Godfather Production.