Ni katika moja ya maeneo mjini Kahama mkoani Shinyanga ambapo kamera zetu zimefanikiwa kunasa mtaro ukiwa umezibwa kwa mawe na mchanga ili watu wapite kuelekea kwenye mji wa mtu.

Wakati serikali na wadau wengine mbalimbali wa maendeleo wakifanya kila linalowezekana kuweka mji wa Kahama katika sura nzuri wengine wanafanya yao kuharibu,Je tutafika?


Picha zote na Leonard Masele-Kahama