AKAMATWA DARAJANI NA MAGUNIA YA BANGI KWENYE MZIGO WA PAMBA ISAKA SHINYANGA
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Emmanuel Chilunda (36) mkazi wa Dar es salaam baada ya kukamatwa akisafirisha m…
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Emmanuel Chilunda (36) mkazi wa Dar es salaam baada ya kukamatwa akisafirisha m…
Shirika la Investing in Childrean and Societies (ICS) limeikabidhi serikali ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga mradi endel…
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amefunga mafunzo ya wakunga mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,…
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa m…
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amezindua zoezi la Chanjo ya kinga na tiba ya magonjwa ya minyoo na kichocho kwa…
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu kambi maalumu ya uchunguzi na tiba y…
Chama cha Wakunga Tanzania (Tanzania Midwives Association-TAMA) kimeendesha semina kwa waandishi wa habari mkoa wa Shinyan…
Kadi ya kliniki Na Annastazia Paul - Shinyanga Imeelezwa kuwa ipo haja ya akina mama kuanza kliniki mapema mara…
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Happiness Segesa (30-35) amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari lenye…
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amewataka wakulima wa zao la pamba kufuata masharti ya kilimo cha zao hilo kut…
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro, ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata kwa mara ya pili Kanda Lunebula anayetu…
Shirika la Thubutu Africa Initiatives (TAI) ni shirika lisilo la kiserikali limetambulisha mradi wa USAID Tulonge Afya kwa vi…
Kampuni ya Uchimbaji wa madini ya Acacia inayomiliki mgodi wa Buzwagi na Bulyanhulu imezindua rasmi maonyesho ya Mashindano…
Shirika la Internews kwa kushirikiana na shirika la USAID Tulonge Afya na Fhi360 limeendesha warsha kwa waandishi wa habari m…
Mstahiki Meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafeez Mukadam amekabidhi pampu ya maji kisima kirefu kwa wananchi wa kitongoj…
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga leo Jumanne Juni 19,2018 imeadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa kila m…
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro ametembelea maeneo ya kituo cha mabasi yaendayo wilayani ‘Stendi ya M…
NB- Siyo picha halisi ya mtoto katika habari Dunia ina mambo ndivyo unaweza kusema!! Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwa…
Watu wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi eneo la makaburi ya Kitwana kata ya Busoka taraf…
Kuelekea Kilele cha Siku ya Mazingira duniani Juni 5,2018,Manispaa ya Shinyanga imeendesha mdahalo wa maadhimisho ya siku ya ma…
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok