Ubunifu : HATUTATUPA TENA CHUPA BAADA YA KUTUMIA


Kutengeneza Kibanda Cha Mapumziko Kama Hiki


Kutengeneza Vizibo Vya Kufungia Bidhaa Kama VyakulaKupandia Maua


Kutengenezea Mtubwi


Kutengeneza Vikapu


Kupandia Maua Kama Hivi
Kutengeneza Dust bin
Kuezekea

Kutengeneza Kijiko Cha Kuchotea Sukari Chumvi au Majani ya Chai

Bustani ya SpinachKumwagilia
Green House NdogoKuezekea Sehemu Ya Kupaki GariDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527