Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

FURSA ZIPO. UTAKUWA MIONGONI MWA WANAOFUATA?

 

FURSA ZIPO.  UTAKUWA MIONGONI MWA WANAOFUATA?

Kampuni 14 tayari zimechukua hatua ya kuwekeza katika miradi ya madini nchini Tanzania kupitia mikataba ya ushiriki wa Serikali, huku kampuni nyingine 27 zikitarajiwa kufuata.

Sekta ya madini Tanzania inaendelea kuvutia wawekezaji na kufungua fursa mpya katika uchimbaji, uchakataji na uongezaji thamani wa madini.

TMIC 2026 ni mahali pa kukutana na fursa, kuunganisha mitaji na kujenga uwekezaji wa kesho.

Jiunge nasi TMIC 2026. Kushiriki jisajili kupitia conference.madini.go.tz na kwa ufafanuzi zaidi piga simu namba 0714  278 620

#RoadToTMIC2026 #MiningForEconomicGrowth #MiningForIndustrialization #InvestTanzania

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com