Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, (kulia) akiwaMkuu wa Kitengo cha Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Ndugu Garvey Pierre leo Agosti 4, 2026, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Ndugu Garvey Pierre leo Agosti 4, 2026, mara baada ya kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, leo Agosti 4, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Ndugu Garvey Pierre, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. Mazungumzo hayo ni sehemu ya kuendeleza ushirikiano na kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na uhusiano wa kimataifa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin