Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Janeth Ngosha, ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya wa Injili unaoitwa “Nsanyagewe”, wimbo unaobeba ujumbe wa kumtegemea Mungu na kusimama imara katika imani licha ya changamoto za maisha.