Video Mpya : MAGEMBE ABILI Ft KINGWENDU - SELINA

Ninayo hapa video mpya kali ya msanii Magembe Abili akimshirikisha mchekeshaji maaarufu Kingwendu,inaitwa Selina iliyotengenezwa Kalunde studio ya Magu  jijini Mwanza.
Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527