Mpya Kabisa!! BHUDAGALA MWANA MALONJA - BHUGENI

Msanii nguli wa nyimbo za asili Bhudagala Mwana Malonja kutoka Serengeti mkoani Mara ametualika kutazama video yake mpya mwaka 2017 inaitwa "Bhugeni".

Tazama ngoma hii kali hapa chini kisha tupe maoni yako hapo chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527