SALOME REMIX KISUKUMA- CHADOGY NG'WANAMARIA Ft MANWELL- WAMEIPA JINA 'NGOLO'...NI NGOMA KALI BALAA

Nimekusogezea wimbo unaitwa Ngolo kutoka kwa Chadogy Ng'wanamaria akimshirikisha Manwell,wote wakitokea Kahama mkoani Shinyanga..Ngoma hii ni remix ya wimbo Salome wa Diamond Platnumz.Wimbo huu umetengenezwa na Manwell kutoka studio za Hardtone Recordz za mjini Kahama.


Sikiliza Ngoma hii kali iliyorudiwa kwa lugha ya Kisukuma

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527