Video Mpyaa!! MSANII WA NYIMBO ZA ASILI NYANDA MPOLE - HARUSI YA NGOLO...NI KALI BALAA

Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Nyanda Mpole kutoka Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Harusi ya Ngolo..Video hii imetengenezwa Angel Studio Recording za mjini Kahama ikiongozwa Masesa (0768075400).

Tazama Video hii hapa chini,ni balaa mtupu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527