Ngoma Mpya Kali ya Asili : NYANDA BETELI KUTOKA KAHAMA - INAITWA 'CHEKECHA'


Tazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Beteli kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Chekecha..Imetengenezwa Angel Studio Recording mjini Kahama ikiongozwa na Masesa.
 Nyanda Beteli ni miongoni mwa wasanii wa nyimbo za asili wanaofanya vyema kimuziki
 Tazama video hii hapa chini 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527