Ngoma ya Asili: MAMA SETELA KUTOKA TINDE SHINYANGA- BHUSABHI



Ninayo hapa ngoma ya msanii wa nyimbo za asili Mama Setela kutoka Tinde Shinyanga inaitwa Bhusabi..Ni ngoma kali itazame hapa chini mtu wangu


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527