عرض المشاركات من ديسمبر, ٢٠٢١

MKE AMUUA MUMEWE KWA KUMCHOMA MOTO SINGIDA

Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu iki…

NAMUNGO YATAMBULISHA MAKOCHA WAPYA

Klabu ya Namungo imetangaza benchi jipya la ufundi la klabu hiyo. Imemtambulisha Hanour Janza ambaye ni raia wa Zambia kuwa Koc…

JAMAA AKATA MASIKIO YA MKE WAKE NA KUONDOKA NAYO

Mkazi wa eneo la Bible Mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, Doricas Richard mwenye umri wa miaka 23 anauguza majeraha baada ya mume…

CCM WAMKALIA KOONI SPIKA NDUGAI

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa ‘koo’ na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Sin…

KINDI AJERUHI WATU 18

Kindi mmoja wa kijivu aliyewashambulia na kuwajeruhi watu 18 amekamatwa na kuuawa. Mnyama huyo alijipatia jina la utani la Strip…

MBARONI KWA KUKUTWA NA DOLA BANDIA TABORA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limemkamata mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Edson Mathayo (33) mkazi wa Ndalla Tabora a…

MWANAMKE MWINGINE AUAWA JIJINI ARUSHA

Happy Lazaro, Arusha Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro, jijini Arusha,Janerose Dewasi(66) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye nc…

AZAM FC YAMSAINISHA IBRAHIMU AJIBU

*********** NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kuinasa saini ya Ibrahimu Ajibu akitokea klabu ya S…

RAIS SAMIA : TUTAENDELEA KUKOPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ** Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ames…

SPIKA NDUGAI : IPO SIKU HII NCHI ITAPIGWA MNADA

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kulingana na mwenendo wa Deni la Taifa kufikia Trilioni 70, ipo siku Nchi itapig…

WAHAMIAJI HARAMU 51 WADAKWA DODOMA

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga  Na Dotto Kwilasa Malunde 1 blog,DODOMA. JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linawashik…

SIMBA WAACHANA NA KOCHA HITIMANA

Simba SC, wamethibitisha kumeachana na Kocha Msaidizi Thierry Hitimana aliyejiunga na Lunyasi, mwanzoni mwa msimu huu kama kocha…

NAIBU WAZIRI CHANDE AFANYA ZIARA YA KIKAZI TEA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Hamad Hassan Chande (katikati) akisikiliza taarifa kutoka kwa …

RAIS MWINYI ATEUA VIONGOZI WANNE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi. ***

GGML YAIDHAMINI GEITA GOLD FC KWA MILIONI 500

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Wayne Louw (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Klabu ya Geita Gold Football Club, Leonard…

MARY MASANJA AIPIGA TAFU JUMUIYA YA UWT UKEREWE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii , Mhe. Mary Masanja (Mb) (katikati) akicheza ngoma ya asili ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe …

HII NDIYO HOTELI BORA ZAIDI DUNIANI

Bila shaka umesikia sana kuhusu hoteli zenye hadhi ya nyota tano katika majiji makubwa duniani kama London nchini Uingereza, Par…

تحميل المزيد من المشاركات
لم يتم العثور على أي نتائج