KATAMBI AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI SHINYANGA

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira akizungumza leo Alhamisi Desemba 30,2021 katika kikao chake na Viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali mkoa wa Shinyanga kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali kutoka kwenye taasisi hizo ili kutatua kero za wananchi. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira akizungumza leo Alhamisi Desemba 30,2021 katika kikao chake na Viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali mkoa wa Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira akizungumza leo Alhamisi Desemba 30,2021 katika kikao chake na Viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali mkoa wa Shinyanga.

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zuwena Omary akizungumza kwenye kikao cha Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira na Viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali mkoa wa Shinyanga

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza kwenye kikao cha Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira na Viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali mkoa wa Shinyanga.
Viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali mkoa wa Shinyanga wakiwa ukumbini

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments