عرض المشاركات من ديسمبر, ٢٠١٨

KABURI LAFUKULIWA..SANDA YACHOMWA MOTO SINGIDA

Taharuki katika kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi moja ambalo linadaiwa kuzikwa mtu s…

SIMBA YAONESHA UTII

Kocha wa Simba Patrick Aussems Licha ya kukabiliwa na mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi klabu ya Simba, ime…

MANARA AWAINGIZA YANGA MTEGONI

Msemaji wa Mabingwa Watetezi, Klabu ya Simba, Haji Manara amehoji Mamlaka ya mapato Tanzania juu utaratibu wa watani zao wa …

WENYE MIZANI FEKI WAENDELEA KUBANWA

Katika kuhakikisha kwamba mnunuzi wa bidhaa hapunjwi, Wakala wa Vipimo Nchini (WMA), wameendelea kufanya ukaguzi wa mizani zina…

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU DEC, 31 2018

Kiungo wa kati wa Real Madrid Isco, 26, amepuuzilia uwezekano wake wa kuhamia klabu ya Chelsea ya England. Amesema hataondoka…

RADI YAUA,KUJERUHI TUNDURU

Mkazi wa Kijiji cha Nambalapi mashambani, Kata ya Masonya, wilayani Tunduru, Awetu Adam (33), amefariki dunia baada ya kupi…

MWANAUME AFARIKI KATIKATI YA MAPAJA YA MWANAMKE

Mwanaume mmoja katika kijiji cha Gionsaria,kaunti ya Kisii Nchini Kenya amefariki dunia baada ya mwanamke mmoja kumbana /ku…

TETESI ZA SOKA JUMAPILI DEC, 30 2018

Christian Pulisic Chelsea wametoa ofa ya hadi pauni milioni 45 kumsaini mshambuliaji wa Borussia Dortmund Christian Pulisic m…

MTOTO AFICHWA KABATINI KWA MIEZI MITANO DODOMA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi mitano, jijini Dodoma amefungiwa kabatini na mwaji…

SERIKALI KUSAJILI WAKULIMA WOTE NCHINI

Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga (Mb) amewaagiza Wakurugenzi wa Bodi za Mazao kuanza mara moja zoezi la kuwatambua na k…

MBOWE ATUMA UJUMBE KUTOKA GEREZANI

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Seif Sharif Hamad, ameweka wazi mipango ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Ma…

تحميل المزيد من المشاركات
لم يتم العثور على أي نتائج