CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA MZEE NDEJEMBI


Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye amekuwa sehemu ya mzee maarufu na wanaoheshimika katika Chama kada wa Chama na Kiongozi Mstaafu wa Chama na Serikali.

Ndejembi amefariki katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma alikopelekwa jana Ijumaa baada ya hali yake kubadilika ghafla.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post