WATUMISHI MWANZA WAANDAMANA WAKICHEKELEA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUFUTA KIKOKOTOO


Waandamanaji hao wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakipita katika barabara ya Kenyatta wakielekea kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ili kufikisha ujumbe wao wa kumpongeza Rais John Magufuli baada ya kuiagiza mifuko ya hifadhi kuendelea kulipa malipo ya waastafu kwa kutumia utaratibu wa zamani wakati wadau wakiendelea na majadiliano hadi 2023.
Watumishi mbalimbali wa umma wakiimba wimbo wa mshikamano baada ya kuhitimisha maanandamano yao ya kuunga mkono agizo la Rais John Magufuli la kuiataka mifuko ya hifadhi ya jamii kuendelea na utaratibu wa zamani kulipa mafao ya wastaafu badala ya kutumia kikokotoo kipya. Picha zote na Daud Magesa
Waandamanaji hao wakiingia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kuunga mkono agizo la Rais John Magufuli kwa mifuko ya hifadhi ya jamii kuendelea kuwalipa watumishi waliostaafu mafao yao kwa kutumia utaratibu wa zamani.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527