Nimekusogezea hapa wimbo mpya kabisa wa Gwiji wa Nyimbo za Asili Bhudagala Ng'wana Malonja inaitwa Harusi...Ngoma hii iliyotengenezwa katika Studio za Bfaster iliyopo Simiyu ni zawadi kwa mashabiki wake...Isikilize hapa chini Mtu wangu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google
Playstore Bofya
Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi
kupitia malundeblog@gmail.com
TAFUTA HABARI
Social Plugin