Ninayo hapa ngoma mpya ya msanii wa nyimbo za asili Masanja Kuyanja kutoka kijiji cha Mwakuhenga kata ya Kagongwa wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Kumbukumbu. Isikilize hapa chini mtu wangu. |