Video : JACKIE AKINYI - NYUNDONA (Demo)...NGOMA KALI YA KIJALUO



Habari yako mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani mpenzi wa nyimbo za asili.Tunakualika kutazama kionjo cha Video ya Msanii Jackie Akinyi wimbo unaitwa Nyundona .Huyu ni msanii wa Kitanzania anayeimba kwa Lugha ya Kijaluo. Nyundona ina maana ya "Ukiwa na kifaaa kama nyundo unaweza kutumia kubomoa vitu flani ama kama una mashine unaweza kuitumia mashine kusagia unga wako". 

Video hii imetengenezwa Yarida Media ya Jijini Nairobo Kenya. Mwongozaji ni Sir Martin.Msanii Jackie Akinyi amesema anatarajia kuachia rasmi video ya Nyundona hivi karibuni.Pia anatarajia kuzindua rasmi Albam yake mpya  hivi karibuni.Albam hiyo ina nyimbo nane,kati ya hizo wimbo mmoja unaitwa "Kiberiti unaniwasha".

TUMIA DAKIKA ZAKO NNE KUTAZAMA DEMO YA WIMBO NYUNDONA WA JACKIE AKINYI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments