MALUNDE 1 BLOG - habari MALUNDE 1 BLOG: habari - All Post
Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Sunday, October 20, 2019

Picha : LITTLE TREASURES YAFANYA MAOMBI NA SHEREHE KUFURAHIA MATOKEO MAZURI DARASA LA SABA 2019...'TANZANIA 4, SHINYANGA ONE'

Picha : LITTLE TREASURES YAFANYA MAOMBI NA SHEREHE KUFURAHIA MATOKEO MAZURI DARASA LA SABA 2019...'TANZANIA 4, SHINYANGA ONE'

Shule ya Msingi Little Treasures iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga imefanya sherehe ya kujipongeza na maombi ya shukrani kwa kupata m...
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwe Rukia Muwango, pamoja na M...
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE.KANYASU AWATAKA WAZAZI WATIMIZE WAJIBU WAO

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE.KANYASU AWATAKA WAZAZI WATIMIZE WAJIBU WAO

Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amewakumbusha Wazazi wenye watoto waliowapeleka kusoma katika shule binafsi w...
TANESCO YAKUSANYA BILIONI 46 KWA WIKI

TANESCO YAKUSANYA BILIONI 46 KWA WIKI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa sasa linakusanya shilingi bilioni 46 kwa wiki hali inayofanya Shirika hilo kuendelea kujitegeme...
MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA SHIRIKA LA MASHAURIANO YA KISHERIA KWA NCHI ZA ASIA NA AFRIKA (AALCO)

MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA SHIRIKA LA MASHAURIANO YA KISHERIA KWA NCHI ZA ASIA NA AFRIKA (AALCO)

Eric Msuya – MAELEZO Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan anatalajia kumuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi ...
WAZIRI MKUU ATAKA MIKOA ILIYOBAKIA ITEKELEZE AGIZO LAKE KUHUSU UWEKEZAJI

WAZIRI MKUU ATAKA MIKOA ILIYOBAKIA ITEKELEZE AGIZO LAKE KUHUSU UWEKEZAJI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka mikoa ambayo bado haijatekeleza agizo lake la kuandaa makongamano ya uwekezaji ihakikishe inafanya...

Saturday, October 19, 2019

KUTANA NA KIUMBE HUYU WA AJABU... ANA JINSIA 720, HANA UUME WALA UKE,HANA TUMBO LAKINI ANAKULA

KUTANA NA KIUMBE HUYU WA AJABU... ANA JINSIA 720, HANA UUME WALA UKE,HANA TUMBO LAKINI ANAKULA

Kiumbe hicho ni miongoni mwa ajabu ya duniani Hana mdomo , tumbo wala macho , lakini anaweza kutambua chakula na kukila. Hana mikono ...
MISA TANZANIA WAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM) JIJINI DODOMA

MISA TANZANIA WAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM) JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari, akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Taasisi ya vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) ...
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE

SERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA NDEGE MPYA YA BOMBARDIER Q400

SERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA NDEGE MPYA YA BOMBARDIER Q400

Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na kampuni ya kutengeneza ndege kutoka Canada kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya aina ya Bombardi...
SERIKALI YATOA UFAFANUZI MADAI YA KOMPUTA KUIBIWA OFISI YA DPP

SERIKALI YATOA UFAFANUZI MADAI YA KOMPUTA KUIBIWA OFISI YA DPP

Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekanusha kuwa hakuna kompyuta za Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
TIGO YATOA MSAADA WA SH110 MILIONI KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA MATIBABU YA WATOTO WENYE MATATIZO YA MGUU KIFUNDO (CLUBFOOT)

TIGO YATOA MSAADA WA SH110 MILIONI KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA MATIBABU YA WATOTO WENYE MATATIZO YA MGUU KIFUNDO (CLUBFOOT)

Mkurugenzi mtendaji (Tigo) Bw. Simon Karikari akimkabidhi mfano wa hundi ya Mil 110/- Ofisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Brenda Msangi.Hafl...
WAZAZI MKOANI MWANZA WATAKIWA KUWAPELEKA WATOTO KUPATA CHANJO

WAZAZI MKOANI MWANZA WATAKIWA KUWAPELEKA WATOTO KUPATA CHANJO

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewahimiza wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao wenye umri chini ya miaka mitano kwenye Vituo v...
WAZIRI MKUU: VIWANDA 4,000 VIMEJENGWA CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

WAZIRI MKUU: VIWANDA 4,000 VIMEJENGWA CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

Waziri  Mkuu  Kassim Majaliwa amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani, viwanda vipya zaidi ya 4,000 vimejengwa na hiv...
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA SILAHA MBILI AINA YA SHORT GUN

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA SILAHA MBILI AINA YA SHORT GUN

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata silaha mbili aina ya Short Gun zikiwa na risasi mbili ambazo zilikuwa kwenye mtutu wa kila sila...
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO AHOJIWA TAKUKURU KWA UBADHIRIFU WA MILIONI 300

ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO AHOJIWA TAKUKURU KWA UBADHIRIFU WA MILIONI 300

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - Takukuru Mkoa wa Tanga inamhoji aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Kaz...
TMA YATOA ANGALIZO LA MVUA KUBWA KANDA YA ZIWA, TANGA NA KIGOMA

TMA YATOA ANGALIZO LA MVUA KUBWA KANDA YA ZIWA, TANGA NA KIGOMA

Mvua kubwa inatarajiwa kunyesha kwenye baadhi ya maeneo ya Kagera, Geita, Mwanza, Kigoma, Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba.
 ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MDOGO WAKE

ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MDOGO WAKE

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma, linamshikilia Mohamed Luambano (70) mkazi wa Mtelamwai wilayani Namtumbo kwa tuhuma za kumkata na kitu ...
NAFASI MPYA YA KAZI VODACOM TANZANIA .....WANATAKA NETWORK DIRECTOR MWENYE DEGREE YA TELECOMMUNICATION

NAFASI MPYA YA KAZI VODACOM TANZANIA .....WANATAKA NETWORK DIRECTOR MWENYE DEGREE YA TELECOMMUNICATION

Nafasi Mpya ya Kazi VODACOM Tanzania .....Wanataka Network Director  ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Dkt. MSONDE: KUFUTA MTIHANI MMOJA WA SHULE YA MSINGI NI KUPATA HASARA YA UPOTEVU WA TSH.BILIONI 100

Dkt. MSONDE: KUFUTA MTIHANI MMOJA WA SHULE YA MSINGI NI KUPATA HASARA YA UPOTEVU WA TSH.BILIONI 100

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Imeelezwa kuwa kufuta  matokeo ya Mtihani mmoja wa shule ya msingi ni Sawa na  kupata hasara  ...