MWANAMKE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWANYANYASA KINGONO WATOTO 7 WA KIKE
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akit…
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akit…
Na Ismaily Luhamba,Singida. Waislam mkoani Singida leo wameungana na Waislam wenzao Duniani kutimiza Nguzo ya Tano ya U…
Msanii wa Nyimbo za Asili Nyanda Mayebele anakualika Kutazama Video ya Wimbo wake Mpya unaitwa Dunia.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid Al-Adha K…
Na Marco Maduhu - Shinyanga Shekh Balilusa Khamisi wa mjini Shinyanga, amewataka viongozi wa vyama mbalimbali vya kisiasa ha…
Na Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. kufuatia kupungua kwa maambukizi ya virusi vya COVID 19 Jeshi la Magereza nchini limefu…
Na Mwandishi Wetu, MOHA, Rufiji. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhib…
KUPATIKANA NA SILAHA [GOBOLE] BILA KIBALI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia AMANI MPINDULE [68] Mkazi wa Lua…
Ziwa Tanganyika Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema kuwa watu 10 wamefariki dunia huku wengine …
Na Mwajabu Kigaza, Kigoma WATU 10 wamekufa kutokana na ajali ya boti iliyozama katika Ziwa Tanganyika kwenye eneo la kamb…
Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani akichukua nafasi ya …
Azmina Arif Amir akionesha namba yake wakati wa zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa kura za maoni Ubunge Viti Maalum…
Na Allawi Kaboyo Bukoba. Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi umeendelea leo julai 30 mwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita na kukagua Daraja la Mkapa linalopita k…
Wananchi wa Somanga Mkoani Lindi wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwapa fedha na kujengwa Kituo cha Afya. Mzee Kimbwembwe am…
Kesi ya uchochezi inayomkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo Julai 30, 2020, imeahirishwa hadi Agosti 26, …
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwi…
Wafanyabiasahara wawili wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka saba ikiwamo kukwepa kodi na kutakatisha Sh. bilio…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa A…
Meneja Mradi wa TIP wilaya ya Sengerema Bi. Asina Shenduli Na Ellukagha Kyusa - Buchosa
PICHA: Jeneza ambalo lina mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa likiingizwa kaburini kijijini kwao Lupaso.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo akiweka udongo katika kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, na kish…
Mama Anna Mkapa akielekea kaburini kuweka udongo katika kaburi la mume wake, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.
Wanajeshi wakitoa heshima zao za mwisho kwa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa katika mazishi yako Lupaso, Masasi mkoani Mtwara.…
Rais John Magufuli amesema rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alipenda nyumbani kwao Masasi ndiyo maana alikata…
Msanii wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisut…
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya,akizungumza wakati wa kikao cha Makamishna na watumishi wa Tume ya Maendeleo ya U…
Watanzania wametakiwa kulisemea mambo mazuri Taifa lao ili kuwa na kidiplomasia nzuri na Mataifa mengine hususani wakati hu…
Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume ameondoka nchini leo Julai 29,2020 baada ya kuwasilisha salamu za pole kufua…
Njoo tuteteme pamoja kwa ladha saaafi!!
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu Mwakitolyo, pamoja na wamiliki wa mashine za kusaga na kukoboa nafaka Salawe na Sol…
Ratiba ya Mazishi ya Hayati Benjamin William Mkapa,Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Leo Siku ya Jumatano Tarehe 29 Julai 2020 Kiji…
Rais Magufuli Anavyoongoza Mazishi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa, Vilio, Huzuni Yatawala
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoan…
MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa ibada maalumu ya maombolezo iliyofanyika wilayani Muheza…