Picha : MKUU WA MAJESHI, JENERALI VENANCE MABEYO AKIWEKA UDONGO KATIKA KABURI LA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo akiweka udongo katika kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, na kisha akapiga saluti kama ishara ya heshima.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post