
Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume ameondoka nchini leo Julai 29,2020 baada ya kuwasilisha salamu za pole kufuatia kifo cha Mzee Mkapa.
Mwenyeji wake Waziri wa Viwanda Mhe.Innocent Bashungwa ndiye aliyemsindikiza uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako