Home »
habari
» RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA SWALA YA EID EL-ADHA KIMKOA LINDI
RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA SWALA YA EID EL-ADHA KIMKOA LINDI
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid Al-Adha Kimkoa iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Ilulu Lindi mjini. Dkt Kikwete ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa