TAZAMA HAPA FILAMU FUPI KUHUSU NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI "KIFO" KUTOKA BONGO MOVIE SHINYANGA & AGAPE
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafu…
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafu…
Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 iliendelea tena Jumamosi ya October 29 2016 kwa michezo mitano kupigwa katika …
HATIMAYE kocha wa Yanga,Hans-van-der-Pluijm amerejea tena kundini kuendelea na kibarua chake cha kuinoa Yanga ambako tayari …
Siku 14 baada ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans kupitia kwa kaimu katibu mkuu wake Baraka Deusdedit atangaze kukanus…
Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zimechezwa leo Jumatano ya Oktoba 12, 2016 katika viwanja tofauti Tanzania, kwa upande …
LICHA ya kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara, wachezaji wa Stand United wanalia njaa kwani hawajalipwa mishahara yao ya mie…
Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga Jamhuri Kiwelu Julio jioni ya Oktoba 2 2016 alitangaza maamuzi ya kuwashtusha …
Timu za soka za Simba na Yanga za Jijini Dar es Salaam zimezuiwa kutumia Uwanja wa Taifa kwa muda usiojulikana kutoka na …
Jumamosi ya Oktoba 1 2016 ni siku ambayo mashabiki wa soka Tanzania wamepata nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi ka…
Leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba.
Jumamosi ya Oktoba 1, 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa…
Furaha ikiendelea baada ya ushindi
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena Jumamosi ya Septemba 17, 2016 kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja sita tofaut…
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Septemba 7,2016 kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja vya Taifa Dar es Salaam, S…
Agosti 26, 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya UEFA Europa League, …
Usiku wa Agosti 25,2016 nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ambaye anaichezea KRC Genk ya Ubelgiji, jina lak…
Baada ya wenyeji wa michuano ya Olympic Brazil kushinda medali ya dhahabu kwa mara ya kwanza katika historia kwa mchezo wa so…
Najua mtu wangu wa nguvu umezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka tu, lakini leo Agosti 19, 2016 naomba nikusogezee TOP 10…
Hatimaye Azam wamekata uteja dhidi ya Yanga katika kuwania Ngao ya Jamii baada ya kuishinda kwa mara ya kwanza katika kipin…
Viongozi wa klabu ya Yanga leo saa nne walikutana katika kikao cha dharura kufuatia mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Man…
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok