Azam Wakata Uteja Dhidi ya Yanga,Waibamiza Vibaya,Angalia Matokeo Hapa

IMG_0401
Hatimaye Azam wamekata uteja dhidi ya Yanga katika kuwania Ngao ya Jamii baada ya kuishinda kwa mara ya kwanza katika kipindi cha misimu mitatu waliyokutana kwenye Ngao ya Jamii.
Azam wameifunga Yanga kwa penati 4-1 baada ya sare kufungana magoli 2-2 ndani ya dakika 90 za mchezo huo ambao moja kwa moja ulikwenda kwenye changamoto ya mikwaju ya penati baada ya dakika 90.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post