UEFA IMEIPANGA KRC GENK YA MBWANA SAMATTA KUNDI MOJA NA ATHLETIC BILBAO
Friday, August 26, 2016
Agosti 26, 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya UEFA Europa League, UEFA imepanga Makundi 12 tayari ambapo timu 48 zimepangwa nne nne kwa kila Kundi. KRC Genk ya Ubelgiji inayochzewa na mtanzania Mbwana Samatta imepangwa Kundi F pamoja na Klabu ya Athletic Club Bilbao ya Ligi Kuu Hipania.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin