SABABU ZA KWANINI UWE NA APP YA MALUNDE 1 BLOG KWENYE SIMU YAKO

Toleo Jipya la App ya Malunde 1 blog, Kama unayo kwenye simu Pakua Upya mtu wangu...  Bofya mara Moja <<Hapa>>


Ili kuwa wa kwanza kupata habari na matukio  ya ukweli na uhakika kwa wakati matukio yanayojiri Tanzania na dunia kwa ujumla tunakushauri kupakua/ kudownload Aplikesheni ya Malunde 1 blog

Usikubali kupitwa na habari na Matukio yanayotokea… Pakua leo App ya Malunde 1 blog


Tembea na dunia kiganjani mwako kiulaini kabisa ukiwa na malunde 1 blog app

Pakua App mpya ya Malunde 1 blog imeboreshwa zaidi ili kukidhi mahitaji ya wasomaji wetu. 


Ni rahisi sana : Ingia Play store kisha Andika Malunde 1 blog halafu bonyeza Install


MALUNDE 1 BLOG APP

 

Malunde 1 blog App – ni app maalum kwa ajili ya habari na matukio yanayotokea Tanzania na nje ya Tanzania. Habari za michezo, ajira ,picha nzuri, mapenzi, siasa, uchumi, burudani, video mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri*


Malunde 1 blog App  - Usipate tabu tena kutafuta habari za kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blog app ndiyo kituo cha taarifa mpya, habari za moto moto , yanayojiri magazetini, habari kubwa magazeti, vichwa vya habari vya magazeti na habari na matukio ya ukweli na uhakika muda wote. Tunakupa habari kali kali kutoka kwa waandishi wa habari mahiri.Malunde 1 blog App – Ni mahali pekee ambapo utapata habari za Shinyanga, Gamboshi na maeneo yote. Ni kituo cha habari za kusisimua, siasa, simulizi, mapenzi, michezo,nyimbo za asili na vituko. Mambo yote ya fashion na mitindo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia app hii.

Malunde 1 blog App – Kuwa wa kwanza kupokea nyimbo za ngoma za asili, ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni. Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng’wana Kang’wa, Ntemi omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, Elizabeth Maliganya, Gude Gude, Kisima, Mchelemchele, Mlyambelele, Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni , nyimbo za makabila yote.

Malunde 1 blog App - Hii inakupa habari mbalimbali kuhusiana na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba, vyakula vya kuimarisha afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo wa kuishi naye, visa vya mapenzi, matukio ya mapenzi ushauri pamoja na simulizi zinazohusu na mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi.

Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za michezo na burudani, mechi zote, timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu, bongo fleva, Singeli, bolingo, bongo movie, Royal tour na burudani zote zitakazokupa raha duniani.

Malunde 1 App - Pia katika App hii utapata nyimbo mpya za wasanii, visa vya wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya wasanii duniani. Utapata habari zote kuhusu nchi yako, siasa, uchumi, utamaduni, mapenzi,picha za matukio na mambo yote ya habari za wasanii ,habari za wanasiasa, habari za watu maarufu.

Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha na kuongeza furaha katika maisha. Habari zote zinazogusa maisha ya watu.

Malunde 1 blog Fahari ya Shinyanga ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nyimbo za asili na habari za kusisimua.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post