
Tunakupeleka mbali zaidi – Haraka, Salama na kwa Gharama Nafuu!
Katika dunia ya biashara, muda ni mali. MKOMBE CLEARING & FORWARDING LOGISTICS inakuwezesha kufikia masoko mapya kwa urahisi – kutoka Afrika Kusini hadi Tanzania, na kwingineko barani Afrika.
🌍 Huduma Zetu Kuu:
✅ Customs Clearance (Forodha)
Tunashughulikia nyaraka zote za forodha kwa haraka na kwa ufanisi, bila usumbufu.
✅ Freight Forwarding (Usafirishaji wa Mizigo)
Tunatoa usafirishaji wa anga, baharini na barabarani – kwa mizigo mikubwa na midogo.
✅ Import & Distribution (Uagizaji na Usambazaji)
Tunapokea, tunasambaza, na kuhakikisha mzigo wako unafika mlangoni bila kuchelewa.
📦 Kutoka Johannesburg hadi Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza na kwingineko – tunahakikisha mizigo yako inafika salama na kwa wakati!
📞 Wasiliana Nasi Leo:
📱 +27 60 474 9717
☎️ +27 11 392 5650
🇹🇿 +255 746 209 547
MKOMBE LOGISTICS – Mizigo Yako, Jukumu Letu!
Quality Always | Speed. Precision. Delivered.








Social Plugin