Angalia Picha!! PROFESA LIPUMBA AMTEMBELEA RAIS JOHN MAGUFULI
Monday, November 30, 2015
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba
amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe
Magufuli na kumpongeza kwa hotuba nzuri iliyoweka mwelekeo mpya wa
Serikali ya Awamu ya Tano. Pia Prof Lipumba amesifu na kuunga mkono
Juhudi za Mhe Rais katika kupambana na wakwepa kodi na wahujumu uchumi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google
Playstore Bofya
Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi
kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni
halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka
kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄
Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti?
🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani?
✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi
vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
TAFUTA HABARI
Social Plugin