Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : LIMBU LUCHAGULA - INAUMA



Msanii wa muziki wa asili ya Kisukuma, Limbu Luchagula amewasogezea mashabiki wake kazi mpya ya muziki inayokwenda kwa jina la “INAUMA” (Official Video 4K).

Wimbo huo umebeba ujumbe wenye kugusa hisia za mashabiki, huku ukionesha ubunifu wa msanii huyo katika kuendelea kukuza muziki wa Kisukuma na utamaduni wa Wasukuma.

Kupitia video hiyo yenye ubora wa hali ya juu, Limbu Luchagula anaendelea kuthibitisha nafasi yake katika tasnia ya burudani kwa kuwasilisha kazi zenye mvuto, ujumbe na ladha ya kipekee kwa mashabiki wake ndani na nje ya Tanzania.

Tazama hapa: Limbu Luchagula – INAUMA (Official Video 4K)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com