SERIKALI SASA KUWASHUGHULIKIA VIJANA WANAOPOST UCHAFU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa vijana wa Tanzania kutumia vizuri mitanda…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa vijana wa Tanzania kutumia vizuri mitanda…
Usiku wa kuamkia Aprili 9, watoto wawili wa familia moja, Mussa Baraka (2) na Mariam Simoni (4) walifariki dunia kwa kuanguk…
Waziri wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema kazi kubwa ya usalama wa taifa ni kukusany…
Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi…
Mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina la Nasra Ally (9) amefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta us…
Meneja kitengo cha bahari na maeneo tengefu, Dk Milali Machumu
Mwenge wa uhuru umewasili mkoa wa Kigoma ukitokea mkoani Kagera ambapo unatarajiwa kuzindua , kutembelea na kuweka mawe…
Zaidi ya nyumba 120 zimeharibika vibaya katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa muda wa siku m…
Naibu Spika, Tulia Ackson amewatetea mawaziri ambao wanashutumiwa kwa kutumia vyombo vya habari kujibu hoja za ripoti ya Mkag…
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), ambaye alikuwa lindo, jana alfajiri aliwashambulia mwenzake, raia na kutishia kum…
Mkuu wa mkoa wa Kigoma brigedia jenerali mstaafu Emanuel Maganga ameanzisha shamba la pamba 'dhahabu nyeupe' ikiwa …
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amempongeza Fatma Karume k…
Watu saba wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameeleza namna alivyonyang’anywa samani na muumini wake siku chache baa…
Rais Magufuli leo amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Mashita…
Kufuatia mdogo wake Mange Kimambi kufika Ofisini kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro wake wa k…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa mkoani Dodoma, Mhandisi Ngusa Izengo anadaiwa kufariki dunia baada ya gari lake kuanguk…
Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – T…
Shambulio Syria Mataifa ya Marekani, Ufaransa na Uingereza yamefanya mashambulio wakilenga vituo vitatu huko Syria kama adh…
Jumla ya wanafunzi 346 wilayani Kakonko mkoani Kigoma wa kidato cha kwanza waliokuwa hawajajiunga na kidato cha kwanza kutoka…
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok