RAIS MAGUFULI ATEUA MAJAJI 10 WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

Rais Magufuli leo amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa SerikaliTheme images by rion819. Powered by Blogger.