Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

VIONGOZI JOWUTA WAKUTANA NA MSAJILI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA WAAJIRI TANZANIA


Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Selemani Msuya na Mwekahazina Lucy Ngowi wakiwa kwenye picha ya pamoja na Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na Waajiri Tanzania, Vallensi Wambali baada ya kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa hesabu za JOWUTA.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com