RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA VYAKULA KUSHEREKEA SIKUKUU YA EID EL FITRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitoa msaada wa vyakula ikiwemo Mchele, mafuta ya kupikia, Sukari, Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa vikundi mbalimbali vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu Jijini Dodoma, katika Iftari Ikulu Chamwino.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post