Post Top Ad
Monday, May 2, 2022
Home
habari
Picha : WAZIRI NAPE NNAUYE AKIWA KATIKA BANDA LA BARAZA LA HABARI TANZANIA 'MCT' MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI
Picha : WAZIRI NAPE NNAUYE AKIWA KATIKA BANDA LA BARAZA LA HABARI TANZANIA 'MCT' MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga kwenye banda la MCT leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha. Waziri Nape Nnauye ametembelea banda la MCT wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Picha na Kadama Malunde 1 blog
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa kwenye banda la MCT leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa kwenye banda la MCT leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga. Picha na Kadama Malunde 1 blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.
No comments:
Post a Comment