Breaking

Post Top Ad

Saturday, October 23, 2021

KAMPUNI YA JAMBO YATAMBULISHA BIDHAA MPYA ZA ICE CREAM UKWAJU, VANILLA


Kampuni ya Jambo Food Products ya Mjini Shinyanga imetambulisha bidhaa mpya Sokoni!! Naam..Ni Jambo Ice Cream ya Ukwaju na Vanilla.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram wa kampuni hiyo inayoaminika na Watanzania kwa uzalishaji na usambazaji wa  bidhaa za Vinywaji Baridi, Pipi, na Biscuits imetangaza Rasmi kuwa bidhaa mpya ya  Ice lolly za Ukwaju  na Vanilla sasa zinapatikana Madukani kwa bei ya Tsh 500/-.

"NI RASMI 🔊 Ice Lolly za Ukwaju na Vanilla kutoka Jambo Food Products LTD sasa zinapatikana madukani kwa bei ya TSHS 500/- tuu. 

Onja Utofauti! 

#JamboIceCream 

Jipatie Ubora Wako Kwa Bei Ya Mwananchi."

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages