ONGEZA FURAHA YAKO NA UMPENDAE, WATOTO WAKO 'VALENTINE DAY HII UKIWA NDANI YA SHY PARK HOTEL

Valentine Day February 14 Imewadia!! Shy Park Hotel ndiyo mahali pekee pa kukuongezea furaha wewe na umpendae lakini pia kwa watoto!! Tumekuandalia mambo mazuri!!

KUNA NINI SHY PARK HOTEL?

Shy Park Hotel kuna eneo la michezo kwa ajili ya watoto na vifaa mbalimbali vya kisasa vya michezo kwa ajili ya watoto yakiwemo magari maalumu ya watoto na eneo la kuogelea 'Swimming pool'.

Huduma zingine zinazopatikana Shy Park Hotel ni malazi, ,vyakula, vinywaji, kumbi za sherehe/harusi na mikutano, Swimming pool kwa watoto na watu wazima, michezo mbalimbali ya watoto, Internet Cafe, Sauna, Massage, Gym, Car wash, Car Parking n.k

SHY PARK HOTEL IKO WAPI?
Shy Park Hotel inapatikana Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.

Mawasiliano zaidi Shy Park Hotel piga simu namba +255 756 612 937, +255 687 478 822 au +255 764 772 092
Email info@shypark.co.tz

Eneo la michezo kwa ajili ya watoto katika Shy Park Hotel
Eneo la michezo kwa ajili ya watoto katika Shy Park Hotel
Eneo la michezo Shy Park Hotel
Muonekano wa magari ya watoto yaliyopo Shy Park Hotel
Muonekano wa magari ya watoto yaliyopo Shy Park Hotel
Sehemu ya kuogelea watoto ' Swimming ya watoto' katika Shy Park Hotel
Sehemu ya kuogelea watoto ' Swimming ya watoto' katika Shy Park Hotel
Sehemu ya kuogelea watu wazima ' Swimming ya watoto' katika Shy Park Hotel
Jengo la Shy Park Lounge
Ndani ya Shy Park Lounge
Muonekano wa majengo ya Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL'
Muonekano majengo SHY PARK HOTEL
Muonekano majengo ya SHY PARK HOTEL
Muonekano mandhari ya SHY PARK HOTEL
Muonekano wa majengo ya SHY PARK HOTEL
Picha mbalimbali muonekano wa majengo ya Shy Park Hotel iliyopo Mjini Shinyanga.
Muonekano wa vitanda
Muonekano sehemu ya Sauna
KARIBU SHY PARK HOTEL

Mawasiliano zaidi Shy Park Hotel piga simu namba +255 756 612 937, +255 687 478 822 au +255 764 772 092
Email info@shypark.co.tz

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post