MPE FURAHA MTOTO WAKO KWA KUMLETA SHY PARK HOTEL....KUOGELEA,MICHEZO KAMA YOTE!! | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, December 26, 2020

MPE FURAHA MTOTO WAKO KWA KUMLETA SHY PARK HOTEL....KUOGELEA,MICHEZO KAMA YOTE!!

  Malunde       Saturday, December 26, 2020

Furaha ya mzazi ni kumuona mtoto wake akiwa na furaha!! Mfanye mwanao kuwa na furaha katika msimu huu wa Sikukuu kwa kumpeleka Shy Park Hotel!

KUNA NINI SHY PARK HOTEL?

Shy Park Hotel kuna eneo la michezo kwa ajili ya watoto na vifaa mbalimbali vya kisasa vya michezo kwa ajili ya watoto yakiwemo magari maalumu ya watoto na eneo la kuogelea.

SHY PARK HOTEL IKO WAPI?
Shy Park Hotel inapatikana Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.

Huduma zinazopatikana Shy Park Hotel ni malazi ,vyakula, vinywaji, kumbi za sherehe/harusi na mikutano, Swimming pool kwa watoto na watu wazima, michezo mbalimbali ya watoto, Internet Cafe,Sauna, Massage, Gym, Car wash, Car Parking n.k

Mawasiliano zaidi Shy Park Hotel piga simu namba +255 756 612 937, +255 687 478 822 au +255 764 772 092
Email info@shypark.co.tz
Eneo la michezo kwa ajili ya watoto katika Shy Park Hotel

Eneo la michezo Shy Park Hotel
Muonekano wa magari ya watoto yaliyopo Shy Park Hotel
Muonekano wa magari ya watoto yaliyopo Shy Park Hotel
Muonekano wa magari ya watoto yaliyopo Shy Park Hotel
Muonekano wa magari ya watoto yaliyopo Shy Park Hotel
Sehemu ya kuogelea watoto ' Swimming ya watoto' katika Shy Park Hotel

Sehemu ya kuogelea watu wazima ' Swimming ya watoto' katika Shy Park Hotel
Moja ya maeneo ya kuvutia katika Hoteli ya Shy Park
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post