Tuesday, December 18, 2018

VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA VYATOA TAMKO ZITO KUHUSU DEMOKRASIA... WASEMA 2019 MWAKA WA KAZI

VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA VYATOA TAMKO ZITO KUHUSU DEMOKRASIA... WASEMA 2019 MWAKA WA KAZI

Vyama sita vya upinzani vilivyokaa kikao chao Zanzibar vimesema mwaka wa 2019 ni mwaka ambao watapambana kwa hali zote katika kudai haki...
DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY WAFUNGIWA KUFANYA SANAA.....TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL LAFUTWA

DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY WAFUNGIWA KUFANYA SANAA.....TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL LAFUTWA

Diamond Platnumz na Rayvanny wamefungiwa kufanya onyesho lolote ndani na nje ya Tanzania na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
MWALIMU AMUUA KWA KUMNYONGA KWA TAI MPENZI WAKE BUKOBA..USALITI WATAJWA

MWALIMU AMUUA KWA KUMNYONGA KWA TAI MPENZI WAKE BUKOBA..USALITI WATAJWA

Marehemu Regina Temu. Watu wawili wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, Karoli Domisian (36) na Regina Temu (29) wamefarik...
VIGOGO WANNE WALIOFUKUZWA CCM KWA USALITI WASUKUMWA NDANI

VIGOGO WANNE WALIOFUKUZWA CCM KWA USALITI WASUKUMWA NDANI

Chama cha Mapinduzi CCM kimewafungulia baadhi ya makada wake waliokuwa ni wenyeviti wa mikoa wa chama hicho ambao walifungiwa kwa tuhum...
WANAUME GEITA WALALAMIKIWA KUINGILIA WAKE ZAO KWA NGUVU

WANAUME GEITA WALALAMIKIWA KUINGILIA WAKE ZAO KWA NGUVU

Picha haihusiani na tukio. Wanaume mkoani Geita wamedaiwa kuwa chanzo cha migogoro ndani ya familia zao kutokana na tabia ya kuwain...
 RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MAKAMU MKUU WA UDOM PROF. EGID BEATUS MUBOFU

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MAKAMU MKUU WA UDOM PROF. EGID BEATUS MUBOFU

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Benjamin Mkapa kufuatia kifo cha Makamu Mkuu w...
Picha : WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ZANAKI WATEMBELEA HIFADHI ASILI YA MAGAMBA LUSHOTO, TANGA

Picha : WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ZANAKI WATEMBELEA HIFADHI ASILI YA MAGAMBA LUSHOTO, TANGA

Afisa Utalii wa Hifadhi ya Mazingira Asili ya Magamba iliyopo Lushoto, Tanga Samiji Mlemba (katikati) akitoa maelezo kwa wanafunzi wa S...
News Alert : HAYA HAPA  MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2019

News Alert : HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2019

Tazama Hapa  Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019.
MVUA YAUA WAWILI KANISANI KAHAMA, 10 WAJERUHIWA

MVUA YAUA WAWILI KANISANI KAHAMA, 10 WAJERUHIWA

  Watu wawili wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya ukuta wa ndani ya kanisa la SDA Wasabato lililopo Igomelo Mjini Kahama ...
MOURINHO 'OUT' MAN UNITED, MRITHI ATANGAZWA

MOURINHO 'OUT' MAN UNITED, MRITHI ATANGAZWA

Kocha Jose Mourinho amefutwa kazi na Manchester United ikiwa ni siku moja tu imepita tangu afungwe mabao 3-1 na Liverpool.
WALIMU MBARONI KWA KUMPIGA HADI KUZIRAI MWANAFUNZI ALIYETOBOA MASIKIO GEITA

WALIMU MBARONI KWA KUMPIGA HADI KUZIRAI MWANAFUNZI ALIYETOBOA MASIKIO GEITA

Walimu watatu wa Shule ya Sekondari Kasamwa, Wilaya ya Geita, mkoani Geita, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumshambulia m...
SUMAYE AANIKA MAADUI WANAOUA CHADEMA

SUMAYE AANIKA MAADUI WANAOUA CHADEMA

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataja maadui ambao watapelekea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukosa ushindi katika ...
JANGILI APEWA ADHABU YA KUANGALIA FILAMU JELA

JANGILI APEWA ADHABU YA KUANGALIA FILAMU JELA

Jangili mmoja nchini Marekani ameamriwa kuangalia filamu ya wanyama ya Bambi kila mwezi baada ya kukutwa na hatia ya kuua "mamia&quo...
AJIUA NYUMA YA KICHAKA CHA JENGO LA BODI YA KOROSHO

AJIUA NYUMA YA KICHAKA CHA JENGO LA BODI YA KOROSHO

Baada ya tukio la mtu mmoja kukutwa amejinyonga mtaa wa maduka makubwa mkoani Mtwara, kwenye kichaka kilichopo nyuma ya jengo la Bodi ya ...
TUMEKUSOGEZEA TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA JUMANNE DEC 18, 2018, JUVENTUS WAMNYEMELEA  POGBA

TUMEKUSOGEZEA TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA JUMANNE DEC 18, 2018, JUVENTUS WAMNYEMELEA POGBA

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anataka kumsaini kiungo mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Uhispania Isco, 26, baad...
SERIKALI YAPOKEA MAOMBI 594,300 YA WAOMBAJI WA KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA

SERIKALI YAPOKEA MAOMBI 594,300 YA WAOMBAJI WA KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imepokea jumla ya maombi 594,300 kutoka kwa waombaji wa nafasi za kazi kat...
WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI SASA KULIPA KODI

WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI SASA KULIPA KODI

Wafanyabiashara wanaofanya biashara kupitia mitandao mbalimbali wametakiwa kufika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili waji...

Monday, December 17, 2018

DIAMOND AZOZANA NA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA KISA KUACHWA NA NDEGE UWANJANI

DIAMOND AZOZANA NA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA KISA KUACHWA NA NDEGE UWANJANI

Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametofautiana na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuhusu kilichotokea hadi akaachwa...
VIGOGO WA UPINZANI TANZANIA WAJICHIMBIA ZANZIBAR

VIGOGO WA UPINZANI TANZANIA WAJICHIMBIA ZANZIBAR

Viongozi wa vyama vya upinzani wakiwa Zanzibar Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wamejichimbia visiwani Za...
MADAKTARI WAVAA KONDOMU KUMHUDUMIA MGONJWA

MADAKTARI WAVAA KONDOMU KUMHUDUMIA MGONJWA

Madaktari nchini Zimbabwe wamelazimika kuvaa kondomu mikononi badala ya mipira ya mikono (gloves) walipokuwa wakimhudumia mgonjwa, kuto...