MKE WA MGOMBEA UDIWANI CHADEMA AMUOMBEA KURA MMEWE ALIYEKO MAHABUBU
Mke wa mgombea udiwani Kata ya Mhandu (Chadema), Godfrey Misana amelazimika kupanda jukwaani kumwombea kura mume wake…
Mke wa mgombea udiwani Kata ya Mhandu (Chadema), Godfrey Misana amelazimika kupanda jukwaani kumwombea kura mume wake…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana amemkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini …
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameapa kuendelea kuongoza taifa hilo kwa wiki kadhaa, licha ya shinikizo kutolewa kumtaka aach…
Magazetini leo Jumatatu November 20, 2017
Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF kimemfuta Robert Mugabe kama kiongozi wake.
Mfanyakazi wa hoteli za kitalii za andBeyond Serengeti, Moses Muhina aliyetajwa kuwa ni miongoni mwa abiria waliofariki dunia …
Waandamanaji nchini Zimbabwe wameelekea katika ofisi ya rais Mugabe ili kumtaka kujiuzulu.
UPASUAJI wa kuzibua mishipa ya moyo bila kufungua kifua kwa kupitia mshipa wa damu wa mkono kwa wagonjwa 33 uliofanywa na …
WADADISI watakaovujisha siri za takwimu watakazokusanya za mapato na matumizi ya kaya binafsi, watashtakiwa mahakamani kwa…
Magazetini leo Jumapili November 19, 2017-yapo ya ndani na nje ya Tanzania
Bilionea wa nyumba za Lugumi aliyeteka vichwa vya habari siku za hivi karibuni, Dk. Louis Shika, amekamilisha malipo ya bima …
Wakati katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akiwa nchini Canada kushughulikia suala la ndege ya Bombardie…
Maafisa wa polisi wanasema kuwa mwanamume mmoja katika jimbo la kaskazini mwa India la Haryana amemuua mkewe baada ya kukataa…
Maelfu ya raia wa Zimbabwe wamejitokeza barabarni hasa mjini Harare wakijiandaa kwa mkutano mkubwa unaoungwa mkono na chama t…
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule amefunga wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Shinyanga yaliyoanz…
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemuhukumu mkazi wa kijiji cha Sibwesa kilichopo katika wilaya ya Tanganyika , …
WATU 40 wa Kitongoji cha Isumbi katika Kijiji cha Igung’hwa Kata ya Kinaga katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shin…
MAHAKAMA ya Wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu mkulima wa Kijiji cha Paramawe, Kulwa Dase (35) kifungo cha miaka 30 jela…
Mgombea udiwani kata ya Mhandu (Chadema), Godfrey Misana na kampeni meneja wake, Charles Chinjibela, wamepandishwa kizimban…
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok