Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA SHINYANGA


Sehemu ya Wananchi wa Shinyanga mjini waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 11 Oktoba, 2025.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com