Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KAHAMA

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kahama katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Shinyanga tarehe11 Oktoba, 2025.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com