RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini Mhe. Isaack Njenga Gatitu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini Mhe. Isaac Njenga Gatitu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini Mhe. Isaac Njenga Gatitu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini Mhe. Noluthando Mayende-Malepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini Mhe. Noluthando Mayende- Malepe mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments